TATIZO LA AJIRA LITAIBUA ‘GEN Z’ TANZANIA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe amesema Serikali imetengeneza uchumi dumavu usiozalisha ajira na kuwatelekeza vijana. Akizungumza na wananchi akiwa Jimbo la Buyungu Mkoani Kigoma jana Julai 24, 2024 amesema tatizo la ajira linatishia utulivu na kusababisha vijana wengi wasio na ajira kuwa tegemezi. “CCM isifikirie kuwa Gen Z […]