KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA KITUO CHA ZIMAMOTO CHA BILIONI 1.9 MTUMBA DODOMA
Na Mwandishi Wetu Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imetembelea na kukagua ujenzi wa jengo la kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lenye thamani ya Tsh. bilioni 1.9 katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Akizungumza baada ya kukagua mradi huo Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge Mhe.Vita Kawawa […]