UCHAMBUZI
April 26, 2024
396 views 13 secs 0

ZIJUE FAIDA 4 ZA WAKULIMA KUTUMIA MBEGU NA MICHE BORA

Zikiwa zimebaki siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wakulima nchini, tumekuandalia makala fupi uweze kufahamu faida za matumizi ya mbegu na miche bora katika kilimo cha kisasa na chenye tija 1. Matumizi ya Mbegu na Miche bora husaidia mazao kustahimili […]