KITAIFA
March 05, 2024
147 views 3 mins 0

CHADEMA WAACHE KUTAFUTA NAMNA YA KUTAKA KUZUNGUMZWA MITANDAONI – MAKONDA

Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kukutana na wananchi na kusikiliza kero zao lengo likiwa ni kumuenzi kwa vitendo Hayati Raisย  mstaafu Ali Hassan Mwinyi ambae alikuwa akifanya hivyo kipindi cha uongozi wake lakini pia kujua utendaji kazi wa watendaji wake katika kuwahudumia wananchi. Hayo ameyasema leo Machi […]

KITAIFA
January 19, 2024
212 views 56 secs 0

KAMATI ZA SIASA MKOA WA DSM NA WILAYA KINONDONI ZAMPONGEZA MWENEZI MAKONDA KWA KUWA MHASISI WA UJENZI WA OFISI ZA GOROFA ZA CCM WILAYA ZOTE MKOANI DSM

Na Mwandishi Wetu Katiba wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi , Uenezi na Mafunzo Ndg. Paula Makonda akutana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Dsm na Wilaya ya Kinondoni pamoja na Viongozi wengine mbalimbali kutoka Wilaya zingine 4 zinazounda jumla ya Wilaya 5 Mkoani Dsm, leo tarehe 19 Januari, 2024. Akiwa […]

KITAIFA
January 19, 2024
179 views 30 secs 0

MWENEZI MAKONDA AZUNGUMZA NA BARAZA LA WAZEE WA MKOA DAR ES SALAAM

Na Mwandishi wetu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda Amewashukuru Baraza la Wazee na Wana CCM wote kwa mchango wao wa maombi ya kumpatia jambo jema ikiwa ni sehemu ya baraka na mafanikio. Mwenezi Makonda ameyasema hayo leo tarehe 19 Januari, 2023 alipopokelewa katika Ofisi […]

KITAIFA
January 19, 2024
157 views 44 secs 0

MWENEZI MAKONDA ATOA WITO KWA WANA CCM WAPENZI NA MASHABIKI KUJITOKEZA KWA WINGI KUMPOKEA KATIBU MKUU DKT NCHIMBI

Na Mwandishi wetu KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametoa wito na rai kwa Wanachama, Wapenzi, Wakerektwa wa CCM kujitokeza kwa wingi kumlaki na kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Taifa Emanuel Nchimbi ikiwa sehemu ya ishara ya kumkaribisha ofisini pia naye kutoa salamu na shukrani. […]