KITAIFA
April 27, 2025
11 views 38 secs 0

DKT. BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA UWEKWAJI WAKFU ASKOFU MTEULE JIMBO LA IRINGA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025. Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]

KITAIFA
April 26, 2025
21 views 38 secs 0

DKT. BITEKO AWASILI MKOANI IRINGA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 26, amewasili mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Katika Uwanja wa Ndege wa Nduli, Dkt. Biteko amepokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe.  Peter Serukamba Akiwa mkoani humo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, […]