KITAIFA
July 18, 2023
291 views 30 secs 0

ALIEKUWA MWENYEKITI TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR ZEC AFARIKI DUNIA

MWENYEKITI wa zamani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salum amefariki dunia leo. Taarifa zinaeleza Jecha Salum amefariki akiwa katika Hospitali ya Lugalo Dar es Salaam. Maziko yanatarajiwa kufanyika Mkoa wa Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar. Ikumbukwe mwenyekiti huyo aliwahi kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Mwaka 2020, Jecha alichukua fomu ya kugombea […]