KITAIFA
June 07, 2024
131 views 4 mins 0

WAPIGA KURA 11,936 KUPIGA KURA KWAHANI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wapiga kura 11,936 wanatarajiwa kupiga kura kesho tarehe 09 Juni, 2024 kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 07 Juni, 2024 jijini Dar […]

KITAIFA
May 30, 2024
63 views 3 mins 0

WAPIGA KURA WAPYA 224,355 KUANDIKISHWA KIGOMA

Na Mwandishi wetu KIGOMA Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024. Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma ambapo mgeni […]

KITAIFA
May 23, 2024
84 views 46 secs 0

WAGOMBEA 14 WATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KWAHANI

Na Mwandishi wetu ZANZIBAR WAMACHINGA Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Bi. Safia Iddi Muhammad amefanya uteuzi wa  wagombea kutoka vyama 14 vya siasa kuwania nafasi ya Ubunge katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 8 Juni, 2024. Ameyasema hayo Leo Tarehe 23 Mei 2024 Msimamizi wa uchaguzi […]

KITAIFA
May 15, 2024
80 views 2 mins 0


TUME KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA JULAI 1, 2024 MKOANI KIGOMA NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWA MGENI RASMI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itazindua zoezi  la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Unguja, Zanzibar, leo tarehe […]