KITAIFA
August 09, 2024
11 views 3 mins 0

WAPIGA KURA WAPYA LAKI NNE KUANDIKISHWA SHINYANGA NA MWANZA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mwanza na Shinyanga utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 21 hadi 27 Agosti, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura wapya 400,082 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa leo tarehe 09 Agosti, 2024 kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi […]

KITAIFA
July 24, 2024
76 views 3 mins 0

KAGERA,GEITA KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AGOSTI 5,2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA GEITA NA KAGERA Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Geita na Kagera utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 05 hadi 11 Agosti, 2024 ambapo vituo vitafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs […]

KITAIFA
July 22, 2024
67 views 2 mins 0

KADI ZA MPIGA KURA ZENYE JINA LA ZAMANI LA TUME NI HALALI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Kadi za mpiga kura zilizotolewa mwaka 2015 na 2020 ni halali na zitaendelea kutumika kwenye chaguzi kuu zijazo bila kujali mabadiliko ya jina la Tume ya Uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Akizungumza wakati wa ziara aliyoifanya ya kukagua vituo vya kuandikishia wapiga […]

KITAIFA
July 09, 2024
69 views 3 mins 0

TABORA JITOKEZENI KWA WINGI WAKATI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TABORA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo kuanzia Julai  20 hadi 26,2024. Akifungua mkutano wa wadau wa uchaguzi […]

KITAIFA
June 20, 2024
61 views 4 mins 0

INEC YAWATAKA WATENDAJI WA UBORESHAJI KUTUNZA VIFAA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KIGOMA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili vikaweze kutumika maeneo mengine nchini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegeke wakati […]

KITAIFA
June 13, 2024
51 views 2 mins 0

INEC KUJA NA MFUMO WA KUJIANDIKISHA KWA NJIA YA MTANDAO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania imeandaa mfumo mpya ya Teknolojia ya kujiandikisha Katika daftari la kudumu la mpiga kura Kwa kutumia njia ya mtandao Ameyasema hayo Leo Tarehe 13 Juni 2024 Mwenyekiti wa Tume Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele wakati akifungua kikao kazi Cha waandishi wa habari […]

KITAIFA
June 10, 2024
105 views 2 mins 0

BVR KITS 6,000 KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA

Na Mwandishi wetu DAR ES SALAAtM Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha BVR Kits 6,000. Hayo yamebainishwa leo tarehe 10 Juni, 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa […]

KITAIFA
June 09, 2024
107 views 2 mins 0

KURA 7,092 ZAMPA UBUNGE ‘PELE’ JIMBO LA KWAHANI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kupitia Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwahani-Zanzibar Bi.Safia Iddi Muhammad imemtangaza Bw.Khamis Yussuf Mussa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge katika Jimbo la Kwahani. Mussa almaarufu Pele ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya kupata Kura 7,092 Kati ya […]

KITAIFA
June 08, 2024
93 views 20 secs 0

RUHSA VYAMA VYA SIASA KUWEKA MAWAKALA UBORESHAJI WA DAFTARI

Na mwandishi wetu WAMACHINGA Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji (Rufaa), Jacobs Mwambegele akikabidhi nakala ya orodha ya vituo vyote vya kuandikisha wapiga kura kwa viongozi na wawakilishi wa Vyama 19 vyenye usajili kamili wakati Vyama hivyo vilipokutana katika mkutano wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika jijini […]