RC CHALAMILA AKABIDHI MILIONI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA ZAHANATI YA SARANGA – UBUNGO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema huo ni mwanzo tu changamoto zingine zitaendelea kutatuliwa. -Ataka ujenzi wa Zahanati hiyo ukamilike haraka wananchi wa Saranga waanze kupata huduma. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 17,2025 amekabidhi milioni 100 kwa wakazi wa Saranga wilaya ya Ubungo ikiwa ni kutimiza ahadi aliyoitoa wakati […]