MICHEZO
March 25, 2024
177 views 52 secs 0

ALLY KAMWE:MAMELODI KUKIONA TAREHE 30

DAR ES SALAAM: BAADHI ya wachezaji wa Yanga waliokuwa kwenye kambi ya timu ya taifa โ€˜Taifa Starsโ€™ wamerejea nchini kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Taarifa iliyotolewa leo na ofisa habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe amewataja wachezaji hao kuwa ni Clement Mzize, Mudathir Yahya na Ibrahim Bacca. โ€œTFF wameruhusu baadhi ya wachezaji […]

MICHEZO
February 24, 2024
102 views 7 secs 0

YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI BAADA YA KUICHALAZA WAARABU CR BELOUIZDAD

KLABU ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali mara baada ya kufanikiwa kuinyuka CR Belouizdad kwa mabao 4-0 katika mchezo wa hatua ya Makundi Klabu Bingwa Afrika. Yanga Sc ilikuwa inahitaji ushindi wa mabao 4-0 kwenye mchezo huo ili kujihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali kwani mechi ijayo ambayo Yanga Sc atacheza […]