WAZIRI JAFO ABAINISHA MKAKATI WA KUENDELEA KUONGEZA UZALISHAJI SUKARI
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amesema uzalishaji wa sukari kwa Tanzania Bara umeongezeka kwa kiasi kikubwa zaidi ya miaka iliyopita na ili kukidhi mahitaji yaliyopo kupitia kampuni za sukari inatarajiwa kuzalishwa tani 706,000 ifikapo Mwaka 2025/26 Akizungumza jana Julai 10, 2024 kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa […]