WAONGOZA WATALII WA SAFARI WAPIGWA MSASA JIJINI ARUSHA
Na. Edmund Salaho/Arusha Waongoza watalii wa safari zaidi ya 750 leo tarehe 12, Decemba 2024 wamepigwa msasa katika semina maalum ikiwa na lengo la kujiandaa na msimu mwingine wa Utalii unaoanza Decemba 2024 hadi Februari 2025. Semina hiyo ya siku mbili inahusisha vyama vya waongoza watalii vya TTGA, NTSGS, TGS, KTGA, IGS, na FGCI imeandaliwa […]