WAZIRI CHANA AZINDUA MRADI WA MAJI KILEWANI WA SHILINGI MILIONI 597.6
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameweka jiwe la msingi na kuzindua Mradi wa Maji wa Kilewani wenye gharama ya shilingi milioni 597.6. Uzinduzi huo umefanyika katika Kijiji cha Kilewani Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa leo Oktoba 1,2024. Akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara, Mhe. […]