KITAIFA
May 25, 2024
165 views 3 mins 0

TANZANIA,NAMIBIA KUBADILISHANA UZOEFU KUHUSU UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU

Na Happiness Shayo DODOMA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Namibia zimekubaliana kubadilishana uzoefu katika Sekta ya Maliasili na Utalii hasa katika kukabiliana na changamoto za Wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo wanaovamia makazi ya wananchi. Hayo yamejiri leo Mei 24,2024 wakati wa kikao cha pamoja kati ya Waziri wa Maliasili […]

KITAIFA
June 03, 2023
179 views 20 secs 0

TANZANIA YAVUKA LENGO LA MKAKATI WA KITAIFA WA KUHIFADHI FARU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa idadi ya faru weusi imeendelea kuongezeka kutoka 163 mwaka 2019 hadi 238 mwaka 2022 na hivyo kuvuka lengo la Mkakati wa Kitaifa wa Kuhifadhi Faru 205 ifikapo Desemba 2023. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya […]