BASHUNGWA AWAONDOA WATENDAJI WA TEMESA KIVUKONI DAR KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe Kingโombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni – Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma bora kwa wananchi wanaotumia usafiri wa […]