BASHUNGWA ATEKELEZA UJENZI WA BARABARA YA KIBADA-MWASONGA KUANZA KUPIGWA LAMI
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongezwa kwa ujenzi wa […]