KITAIFA
May 06, 2024
207 views 2 mins 0

BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR-LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72

MTWARA LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na makandarasi, kuhakikisha wanakamilisha kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam ndani ya saa 72. Waziri Bashungwa ameeleza hayo, […]