KITAIFA
October 29, 2024
41 views 3 mins 0

SERIKALI YAWATAKA WAZAWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MIRADI IKITOKEA NA SIO KUWAACHIA WAGENI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ametoa wito kwa wataalamu wa ndani kuchangamkia fursa zinazotokana na miradi mikubwa ya ujenzi nchini. Akizungumzaย  Wakati akimuwakilisha Naibu waziri mkuu na waziri Wa Nishati na Madini Doto Biteko katika Kongamano la Tano la Bodi ya Usajili wa Wakadiriaji Majenzi na […]

KITAIFA
October 24, 2024
56 views 3 mins 0

MKAKATI UJENZI WA DARAJA LA JANGWANI RAIS DKT SAMIA APONGEZWA KILA KONA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire – Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24. Mkataba huo umesainiwa juzi Oktoba 22, 2024 Mkoani […]

KITAIFA
October 09, 2024
50 views 2 mins 0

DKT MPANGO AIPA HEKO TANROADS AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE TABORA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kiwanja cha ndege Tabora na kuipongeza Wizara ya Ujenzi wa kazi wanayoifanya katika mradi huo. Akizungumza leo tarehe 9 Octoba 2024 mara baada ya kukagua na kuweka jiwe […]

KITAIFA
October 03, 2024
82 views 2 mins 0

MATHIAS CANAL AMPA MAUA YAKE DKT MWIGULU ACHANGIA MIL 4.2 SHULE YA MSINGI KIOMBOI HOSPITAL WILAYANI IRAMBA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mwandishi wa habari wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amewata wananchi Mkoani Singida kuendelea kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibu ambaye ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya katika Taifa la Tanzania. Amewataka wananchi kumuombea, kumtia moyo na kumpa ushirikiano ili […]

KITAIFA
August 20, 2024
203 views 2 mins 0

KAMATI YA MIUNDOMBINU YASHAURI UJENZI WA MADARAJA MAENEO YENYE USAFIRI WA VIVUKO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. […]

KITAIFA
May 20, 2024
173 views 2 mins 0

KAMPUNI ZA TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI

Tanzania na China zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja kwa kuyawezesha Makampuni ya Tanzania kupewa sehemu ya kazi za ujenzi kutoka kwa Makampuni ya Kichina yatakayopewa kazi ya kutekeleza miradi ya ujenzi nchini. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Mei 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati […]

KITAIFA
May 09, 2024
207 views 40 secs 0

MAGARI NA ABIRIA WALIOKWAMA LINDI WAANZA KURUHUSIWA KIENDELEA NA SAFARI

MTWARA Magari ya Mizigo, Mabasi na magari mengine madogo yaliyokwama kwa siku sita katika barabara ya Lindi-Dar es Salaam eneo la njia nne (Mikerengโ€™ende) hadi Somanga yakitokea Lindi kuelekea Dar es Salaam yaanza kuruhusiwa kuendelea na safari. Hatua hiyo imechukuliwa leo asubuhi, tarehe 09 Mei, 2024 Mkoani Lindi mara baada ya kukamilisha urejeshaji wa mawasiliano […]

KITAIFA
May 07, 2024
170 views 3 secs 0

BASHUNGWA AWABANA WATAALAM NA MKANDARASI SITE “NAWEZA KUFUKUZA TIMU YOTE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya Wataalam na Mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es salaam- Lindi katika eneo la Nangurukuru kutokana na kasi ndogo ya kazi na usimamizi. Bashungwa ameonesha hali hiyo ya kutoridhishwa na usimamizi na kasi ya urejeshaji wa […]