MKUTANO WA 7 WAKIMATAIFA WA JUMUIYA YA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA USAFIRI MAJINI BARANI AFRIKA KUANZA TAREHE 29
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Tanzania kupitia shirika la uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeteuliwa kuwa nchi mwenyeji kwenye wa Makutano wa saba (7) wa akimataifa wa jumuiya ya Mamlaka za usimamizi wa usafiri Majini Barani Afrika utakaofanyika kuanzia tarehe 29 novemba hadi 10 Disemba 2024 jijini Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa […]