KITAIFA
December 13, 2024
112 views 53 secs 0

TANZANIA NA INDONESIA ZAJADILI FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt.Mataragio aongoza majadiliano na kampuni ya Pertamina  Indonesia* Wajadili uwekezaji katika Nishati Mbadala, Mkondo wa Juu wa Petroli, Uzalishaji mbolea* Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika gesi asilia (LNG) imeendelea na ziara yake nchini Indonesia ya kujifunza na kubadilishana uzoefu kuhusu utakelezaji wa miradi ya LNG. […]

KITAIFA
December 13, 2024
120 views 2 mins 0

TIMU YA MAJADILIANO YA MRADI WA LNG YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDONESIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Inalenga kubadilishana uzoefu na ujuzi juu ya usindikaji wa gesi Indonesia. Timu ya Serikali ya Majadiliano ya Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia (Government Negotiation Team – GNT-LNG) ipo katika ziara nchini Indonesia. Ziara hiyo inalenga kubadilisha uzoefu na ujuzi katika kuendeleza sekta ya ndogo ya mafuta na gesi asilia […]

KITAIFA
December 11, 2024
124 views 2 mins 0

TANESCO TUNATHAMINI WADAU WA MAENDELEO – MHA. NYAMO-HANGA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Serikali inaangalia njia bora ya kushirikisha Sekta Binafsi katika Ujenzi na Mifumo ya usafirishaji umeme* Aeleza faida za Tanzania kufanya biashara katika soko la EAPP na SAPP* Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania  (TANESCO), Mha. Gissima Nyamo-Hanga amesema kuwa TANESCO inathamini michango inayotolewa na wadau wa maendeleo katika kuimarisha […]

KITAIFA
December 06, 2024
119 views 6 mins 0

MKUTANO WA KIKANDA MATUMIZI BORA NISHATI WAANZA ARUSHA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesemakuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo  kwenyemipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiyaya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi  hizo kutumiaumeme kwa ufanisi na hivyo kupunguza upotevu wa umeme. Dkt. […]

KITAIFA
December 06, 2024
116 views 3 mins 0

NCHI ZA EAC NA SADC ZAAZIMIA KUENDELEZA  TEKNOLOJIA YA MATUMIZI BORA YA NISHATI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati (REEC 2024) Dkt. Jafo asema maendeleo ya Viwanda yanategemea uwepo wa Nishati ya kutosha Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati uliohusisha Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliomalizika leo […]

KITAIFA
December 05, 2024
102 views 5 mins 0

WAHASIBU AFRIKA WAASWA KUISIMAMIA UKWELI WA TAALUMA YAO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AAAG Asema Afrika Inawategemea Wahasibu Kunufaika na Utajiri wake Asisitiza Matumizi ya Teknolojia kwa Wahasibu Afrika Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu ili kuendeleza umuhimu na mchango na ukuaji wa uchumi […]

KITAIFA
December 04, 2024
143 views 3 mins 0

UMEME NI AJENDA KUBWA YA SERIKALI; TUTAFIKISHA UMEME KWENYE MAENEO YOTE- KAPINGA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Akagua utekelezaji wa miradi ya umeme wilayani Monduli* Asema fedha za miradi ya umeme zitasimamiwa  ipasavyo kutekeleza ajenda ya umeme kwa wote* Ampongeza Dkt.Samia kwa hatua kubwa iliyopigwa umeme vijijini* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amesema umeme ni ajenda kubwa ya Serikali ya Awamu ya Sita inayolenga kufikisha umeme […]

KITAIFA
December 03, 2024
125 views 2 mins 0

MKUTANO WA KIKANDA WA MATUMIZI BORA YA NISHATI WAANZA KWA MAFANIKIO ARUSHA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Magari yanayotumia umeme yawa kivutio Wadau waonesha vifaa vinavyotumia umeme kidogo kwa gharama ndogo Dkt. Mataragio asema Matumizi Bora ya Nishati yanalenga kupunguza uzalishaji hewa ya ukaa Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati unaojumuisha Viongozi na Wadau mbalimbali kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)  na Jumuiya ya […]

KITAIFA
November 22, 2024
126 views 56 secs 0

TANZANIA NA UGANDA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Na Mwandishi Wetu *T Ni katika  kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi* Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati,  Dkt. James Mataragio amesema nchi za Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati ikiwemo Sekta ya Mafuta na Gesi. Dkt. Mataragio ameyasema hayo […]

KITAIFA
November 14, 2024
102 views 5 mins 0

TANZANIA,DUNIA KUUNGANA USALAMA AFYA KIMATAIFA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wanasayansi kuunganisha afya ya Binadamu, Wanyama na Mazingira kwa Matokeo Bora ya Afya -MWANZA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia […]