SEKTA BINAFSI MSHIRIKA MKUBWA WA SERIKALI KATIKA KUTEKELEZA AGENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *📌 Upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia kufika hadi ngazi ya Kaya* *📌Asisitiza kuisukuma ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia* *📌Asilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi ifikapo 2034* *📌Serikali kuendelea kushirikiana na UNCDF NA EU* Imeelezwa kuwa, Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Washirika wengine wa Maendeleo wamekuwa msaada mkubwa […]