DKT BITEKO SHUGHULIKA NA WANAOKUPENDA SIO KUKWAMISHANA
Na Anton Kiteteri WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Daktari Dotto Biteko ametoa rai kwa wananchi kushirikiana na kuheshimiana na viongozi wao ili kuwapa nafasi ya katimiza wajibu wao wa kuwaletea maendeleo badala ya kukwamishana. Dk. Biteko ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Msangila,kata ya Runzewe magharibi,wilaya ya Bukombe,mkoa […]