WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KWA MAFANIKIO
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐ *Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo* ๐ *Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe* ๐ *TANESCO yatoa huduma moja kwa moja ikiwemo ya Nikonekt* ๐ *Wananchi wajulishwa haki zao kupitia EWURA CCC* Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zilizo chini yake imeshiriki kwaย mafanikio katikaย Maadhimisho […]