KITAIFA
September 08, 2024
17 views 4 mins 0

DKT BITEKO ASHIRIKI DUA YA MZEE MAJID NSEKELA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa Jamiiย  Kuwatunza Wazazi na Kuwaombea Dua* Asisitiza Upendo Miongoni mwa Wanajamii* Watanzania Wasisitizwa Kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameiasa jamii kuwa na utaratibu waย  kuwatunza na kuwajaliย  wazazi […]

KITAIFA
June 09, 2024
102 views 14 secs 0

TANZANIA INA UMEME WA KUTOSHA KUFANYA SHUGHULI ZA KIUCHUMI-DKT BITEKO

Asisitiza hakuna mgawo wa umeme* Amshukuru Rais Samia kuiimarisha Sekta ya Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, kwa sasa nchi ina umeme wa kutoshaย  kuwawezesha Watanzania kufanya shughuli zao za kiuchumi. Dkt. Biteko amesema hayo leo Juni 9, 2024 wakati alipoungana na Waumini wa Kanisa la AIC […]

KITAIFA
April 18, 2024
87 views 4 mins 0

DKT BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA

Na Mwandishi Wetu Asema limepunguza athari za mafuriko Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwala la Umeme la Julius […]

KITAIFA
March 20, 2024
103 views 4 mins 0

KAMATI YA BUNGE YAFURAHISHWA NA KASI YA UTELEKEZAJI WA MIRADI

๐Ÿ“Œ *Yaridhishwa na namna Serikali inavyotenga Fedha miradi ya Nishati* ๐Ÿ“Œ *Yataka Wizara kuongeza kasi kwenye utekelezaji wa bajeti 2023/2024* ๐Ÿ“Œ *TANESCO Yatakiwa kuimarisha miundombinu ya kusafirisha umeme* ๐Ÿ“Œ *Wizara yaahidi kutekeleza maagizo ya Kamati* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya wizara ya […]

KITAIFA
March 18, 2024
161 views 4 mins 0

DKT BITEKO AFUNGUKA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI

๐Ÿ“Œ Aagiza kuanzishwa kwa Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia ๐Ÿ“Œ Lengo ni kutekeleza Ajenda ya Rais ya Nishati Safi ya Kupikia ๐Ÿ“ŒAagiza Matumizi ya CNG kupewa kipaumbele ๐Ÿ“ŒAtaka huduma bora kwa wananchi ๐Ÿ“Œ Akumbusha vyeo visiwe sababu ya kiburi na majivuno kwa watendaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko ameagiza […]

KITAIFA
March 12, 2024
91 views 2 mins 0

KAMATI YA BUNGE YAKAGUA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA

๐Ÿ“Œ *Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenzi* ๐Ÿ“Œ *Yataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi* ๐Ÿ“Œ *Ujenzi wafikia asilimia 75* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kushirikisha Taasisiย  za Umma katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara katika Mji wa Serikali-Mtumba na hivyo […]

KITAIFA
March 11, 2024
150 views 0 secs 0

NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AWASILI OFISINI RASMI

๐Ÿ“Œ *Apokelewa na Katibu Mkuu na Wafanyakazi wa Wizara* ๐Ÿ“Œ *Aahidi kushirikiana na wadau kumsaidia Mhe. Rais kufikia malengo* Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio  amewasili rasmi ofisini na kuahidi kumsaidia Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan kutimiza malengo yake kwa Taifa. Alipowasili Ofisi za Wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma, alipokelewa […]

KITAIFA
March 11, 2024
166 views 10 secs 0

DKT BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA

DODOMA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati)ย  akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba (wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya Nishati kati ya nchi hizo mbili. Kikao kimefanyika jijini […]