KITAIFA
September 13, 2024
23 views 10 mins 0

MIKATABA YA SH BILIONI 50.9 YASAINIWA KUWEZESHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mitungi ya Gesi 400,000  yapewa Ruzuku* Dkt. Biteko Asisitiza Nishati Safi ya Kupikia kwa Wote* Aagiza Majengo ya Wizara ya Nishati/Taasisi kufunga mifumo ya Umeme Jua* Azindua  Jengo la REA; Aipongeza kwa usimamizi wa miradi, asisitiza huduma bora* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko amesema Serikali inafanya […]

KITAIFA
September 11, 2024
29 views 5 mins 0

TANZANIA,KAMISHENI YA TABIANCHI YA BONDE LA CONGO,MFUKO WA BLUU WA BONDE LA CONGO KUKABILIANA NA MABADILIKO YA NCHI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dodoma, Tanzania — Septemba 11, 2024 Katika juhudi za kuboresha uhifadhi wa mazingira nchini, Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imefanya mkutano na Kamisheni ya Tabianchi ya Bonde la Congo (CBCC) pamoja na Mfuko wa Bluu wa Bonde la Congo (CBFF) jijini Dodoma. Mkutano […]

KITAIFA
September 10, 2024
22 views 3 secs 0

DKT BITEKO RAIS SAMIA AMEELEKEZA RASILIMALI ZINAZOCHIMBWA NCHINI ZIWANUFAISHE WATANZANIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Watanzania kunufaika na rasilimali zinazochimbwa katika maeneo yao kwa kutoa fursa mbalimbali  ikiwemo  ajira. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Septemba 10, 2024 mkoani Mtwara katika hafla ya kukabidhi […]

KITAIFA
September 10, 2024
24 views 3 mins 0

DKT BITEKO SERIKALI KUVUTIA WAWEKEZAJI UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashuhudia makabidhiano leseni  ya uendelezaji Gesi Asilia Kisima cha Ruvuma* Azitaka TPDC na ARA Petroleum kutoa kipaumbele kwa wazawa katika ajira* Kitalu cha Ruvuma kuzalisha Gesi futi ujazo trilioni 1.6* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa […]

KITAIFA
September 09, 2024
25 views 2 mins 0

KAPINGA DHAMIRA YA RAIS SAMIA NI KUONA WANANCHI WANANUFAIKA NA MIRADI KATIKA MAENEO YAO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TPDC yatekeleza maagizo ya Dkt.Biteko Msimbati* Wananchi kuanza kunufaika na uwepo wa kituo cha Afya na Polisi* Kapinga asisitiza ushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Naibu Waziri Nishati, Mhe.  Judith Kapinga amesema kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha wananchi […]

KITAIFA
September 08, 2024
20 views 32 secs 0

KAPINGA:TUUNGE MKONO JITIHADA ZA DKT SAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati ya Safi ya Kupikia inagusa makundi yote ya Wanachi* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka wananchi kuendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia. Mhe. Kapinga  ameyasema hayo leo Septemba […]

KITAIFA
September 07, 2024
21 views 2 mins 0

WIZARA YA NISHATI ENDELEENI KUSIMAMIA MRADI WA JNHPP IPASAVYO-KAMATI YA BUNGE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mradi wafikia asilimia 98* Mkandarasi alipwa Sh.Trilioni 6.3 kati ya Sh.Trillioni 6.5* Kapinga aahidi kuendeleza usimamizi makini* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Nishati kuendelea kuusimamia ipasavyo Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa […]

KITAIFA
August 31, 2024
43 views 42 secs 0

MIRADI YA NISHATI KUNUFAISHA WANANCHI WANAOIZUNGUKA-KAPINGA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Huduma za kijamii zaendelea kuboreshwa Songosongo* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema wananchi wanaoishi katika maeneo ambayo yana miradi mikubwa ya nishati watanufaika na miradi hiyo kupitia upatikanaji wa huduma mbalimbali. Mhe. Kapinga amesema hayo  Agosti 30, 2024 bungeni jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la Mhe. Ally Kasinge Mbunge […]

KITAIFA
August 20, 2024
37 views 3 mins 0

DKT BITEKO:WAKANDARASI,REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa Vitongoji  3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha kwa wakati na REA kuwasimamia wakandarasi kwa kutenda  haki. Hayo yamebaibishwa […]

KITAIFA
July 26, 2024
57 views 2 mins 0

DKT BITEKO SHUGHULIKA NA WANAOKUPENDA SIO KUKWAMISHANA

Na Anton Kiteteri WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Daktari Dotto Biteko ametoa rai kwa wananchi kushirikiana na kuheshimiana na viongozi wao ili kuwapa nafasi ya katimiza wajibu wao wa kuwaletea maendeleo badala ya kukwamishana. Dk. Biteko ametoa wito huo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Msangila,kata ya Runzewe magharibi,wilaya ya Bukombe,mkoa […]