KITAIFA
April 16, 2024
298 views 2 mins 0

RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA NCHINI UTURUKI LENGO LA KUDUMISHA UCHUMI NA SIASA

Na Madina Mohammed Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt  Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki kwa lengo la kukuza Uhusiano wa Kidiplomasia ya kisiasa, uchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 15 April 2024 Waziri wa Mambo ya Nje […]