KITAIFA
August 23, 2024
99 views 2 mins 0

TFS YAPONGEZWA KWA KAZI NZURI YA ULINZI WA MISITU

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa jitihada zake za kulinda maeneo ya misitu nchini na kuwasisitiza kuwa wabunifu na kuongeza mashamba ya miti. Mhe. Chana ameyasema hayo leo Agosti 23,2024 wakati wa kikao na Menejimenti, Maafisa na […]

KITAIFA
July 24, 2024
165 views 9 secs 0

WAZIRI KAIRUKI ATETA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA UTALII DUNIANI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZAMBIA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika, Bi. Elcia Grandcourt, ambapo pamoja na mambo mengine  kikao hicho kilijikita katika kuendeleza ushirikiano na Shirika hilo hususan, fursa na programu […]

KITAIFA
July 09, 2024
151 views 2 mins 0

TAWA YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA,KANUNI NA TARATIBU KATIKA UTENDAJI KAZI

Na Happiness Shayo Morogoro Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wmetakiwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo iliyopo katika kuongeza tija na kuboresha utendaji kazi wa Mamlaka  hiyo. Rai hiyo imetolewa leo Julai 8,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) katika kikao chake na Menejimenti ya […]

KITAIFA
July 06, 2024
175 views 3 mins 0

WAZIRI KAIRUKI ATANGAZA FURSA ZA SEKTA ZA MISITU,NYUKI NA UTALII

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amehamasisha Watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika Sekta ya Misitu, Nyuki na Utalii ili kujiongezea kipato na kupata ajira. Ameyasema hayo leo Julai 5,2024 alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu […]

KITAIFA
July 04, 2024
181 views 3 mins 0

TANZANIA,QATAR KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii. Hayo yamebainika  leo Julai 4,2024 wakati wa kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki (Mb) […]

KITAIFA
June 10, 2024
166 views 2 mins 0

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA WAANDAAJI WA ONESHO LA KUBWA LA UTALII DUNIANI LA FITUR

Na Mwandishi wetu -Barcelona,Hispania Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Kampuni ya IFEMA ya Madrid, Hispania inayojihusisha na uandaaji wa Onesho linaloongoza duniani la Feria Internacional de Turismo (FITUR) lengo ikiwa ni kuangalia namna bora ya kuboresha ushiriki wa Tanzania katika Onesho hilo […]

KITAIFA
June 08, 2024
137 views 2 mins 0

RAIS SAMIA AWEKA MAZINGIRA BORA YA UWEKEZAJI SEKTA YA UTALII-WAZIRI KAIRUKI

Na Happiness Shayo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hasan imeendelea kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na wawekezaji Sekta ya Utalii ili kuwarahisishia ufanyaji biashara na kuendelea kuikuza Sekta hiyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angelllah Kairuki mara baada […]

KITAIFA
June 01, 2024
145 views 2 mins 0

WABUNGE WA CONGRESS WAIMWAGIA SIFA TANZANIA JUHUDI ZA UHIFADHI

Na Happiness Shayo Wawakilishi 11 wa Bunge la Wawakilishi-Congress kutoka nchini Marekani wameridhishwa na juhudi za uhifadhi zinazofanywa na  Serikali ya Tanzania huku wakisifia namna ambavyo hifadhi za Taifa zimesheheni wanyamapori. Hayo yamesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Wabunge hao kilichofanyika katika Uwanja wa Ndege wa […]

KITAIFA
May 31, 2024
114 views 2 mins 0

SWICA YAINGIZA SERIKALI DOLA ZA MAREKANI 2,773,000

Na Beatus Maganja BUNGENI DODOMA Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Jasmin Kairuki (Mb) amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, Wizara yake imefanikiwa kuanza utekelezaji wa Uwekezaji Mahiri kwenye Maeneo ya Wanyamapori (Special Wildlife Investment Concession Areas – SWICA) ambapo jumla ya Dola za Marekani 2,773,000 sawa na Shillingi bilioni 7.1 […]