RAIS DKT.MWINYI AZINDUA SERA MPYA YA MAJI YA MWAKA 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ina dhamira ya dhati ya Kuijenga Zanzibar yenye Maendeleo endelevu na huduma bora za jamii ikiwemo Elimu, Afya na Maji Safi na Salama. Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo alipoizindua Sera Mpya ya Maji na Usafi wa Mazingira ya 2025 hafla iliofanyika […]