PROF IKINGURA AONGOZA KIKAO CHA 18 BODI YA GST
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Prof. Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha kawaida cha 18 cha Bodi hiyo kwa ajili ya kupitia taarifa ya utekelezaji wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2023/24. Bodi hiyo imefanya Kikao hicho leo Aprili 24, 2024 […]