AGRA INAONGOZA KUWAWEZESHA VIJANA KWA UBUNIFU WA KILIMO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi ya Mageuzi ya Vijana Tanzania (AGRA) imetangaza kuwa itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Sera wa Vijana na Ubadilishaji wa Mifumo ya Chakula, ambao utawakutanisha wawakilishi wa vijana, washirika wa utekelezaji, na wadau muhimu katika mlolongo wa thamani ya mifumo ya chakula ili kuwezesha mazungumzo na vijana ili […]