KITAIFA
January 03, 2024
139 views 2 mins 0

ULEGA AUNG’OA UONGOZI WA MNADA WA PUGU

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Daniel Mushi kuuondoa Uongozi mzima wa Mnada wa Pugu kwa kushindwa kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato. Waziri Ulega ametoa maelekezo hayo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika mnada huo mapema leo Januari 3, 2024 kwa lengo la […]