SILINDE:TUNAONYESHA UMMA MABADILIKO CHANYA AMBAYO WIZARA IMEKUWA IKIYAFANYA KATIKA SEKTA YA KILIMO
JIJINI DODOMA Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema lengo la Wizara kuweka maonyesho katika viwanja vya Bunge ni kuonesha Umma mabadiliko chanya ambayo Wizara imekuwa ikiyafanya katika Sekta ya Kilimo kuanzia katika ngazi ya tafiti mpaka katika ngazi ya uwekezaji ya kuongeza thamani ya mazao. “Tunaonesha watu namna ambavyo tunaendesha Sekta ya […]