MARAIS SABA KUKUTANA DAR KUJADILI KAHAWA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAKUU wa nchi saba, kati ya 25 zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (G-25), wanatarajiwa kushiriki mkutano wa tatu zao hilo utakaofanyika kuanzia Februari 21 hadi 22 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Tanzania inakuwa mwenyeji wa mkutano wa tatu wa G-25 African Coffee Summit […]