SERIKALI KUPANUA UHURU WA HABARI
DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mabadiliko katika Sheria ya Huduma za Habari yamekuja kukuza sekta ya habari kwa kiwango kikubwa. Majaliwa ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha Kurasa 365 za Mama, ikiangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu […]