KIKAO KAZI CHA KUFANIKISHA MAAZIMIO YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NCHINI 2050
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wizara ya fedha ni Wizara muhimu katika maendeleo ya Taifa na ufanikishaji wa Maazimio ya Dira ya Taifa ya Maendeleoย Nchini, kwa kuzingatia hilo janaย Kamatiย ya usimamizi wa Dira. Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu ya kitaalamu na uandishi wa dira ya Maendelo 2050 , walikutana kuweza kupata picha […]