KITAIFA
May 06, 2024
244 views 30 secs 0

WIZARA YA ELIMU KUSOMWA BAJETI YAKE KESHO,MEI 07,2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Jumanne Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopatikana kwenye Sekta ya Elimu kupitia Bajeti ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 pamoja na Mpango na […]