PROF MKENDA NA BABU TALE WATETA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA
JIJINI DODOMA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Carolyne Nombo wakijadiliana jambo na Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Mhe. Shaban Hamis Taletale katika viwanja vya Bunge leo Mei 08, 2024 Prof. […]