NAIBU WAZIRI SANGU AUMIZWA NA MWAMKO MDOGO WA ELIMU MKOANI RUKWA
โ Ahimiza Wazazi kusimamia elimu ya watoto wao ipasavyo Na.Mwandishi Wetu -SUMBAWANGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe.Deus Sangu ameonesha kuumizwa na mwitikio mdogo wa elimu Mkoani Rukwa huku akiwaonya wazazi wenye tabia ya kuwaelekeza watoto wao kujikosesha au kuchora picha katika mitihani yao kwa lengo la kujihusisha na shughuli za […]