SERIKALI IMETEKELEZA MIRADI MINGI SEKTA YA AFYA-DKT BITEKO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali Ataja mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afya Alipongeza Kanisa Katoliki, awashukuru wafadhili wa miradi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutekeleza miradi […]