MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZURU MRADI WA SAMIA HOUSING SCHEME, KAWE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amefanya ziara katika mradi wa kihistoria wa Samia Housing Scheme unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Kawe, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kukagua maendeleo ya mradi huo mkubwa unaolenga kuboresha makazi nchini. Akiwa eneo la mradi, Mkuu wa […]