WAZIRI JAFO AMEWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA KUFANYA URATIBU NZURI WA SHUGHULI ZA KIBIASHARA ILI KULETA FAIDA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amewahakikishia wafanyabiashara wa Tanzania kufanya uratibu mzuri wa shughuli za kibiashara ili kuleta faida kubwa sana katika nchi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kikao cha pamoja kilichowashirikisha watendaji wa Wizara ya viwanda na Biashara ya Tanzania na Wizara ya […]