KITAIFA
August 24, 2024
125 views 3 mins 0

DKT BITEKO SERIKALI ITAENDELEA KUTUMIA TEHAMA KUKUZA MAENDELEO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha uchumi wa kidijitali Sekta binafsi yatakiwa kuchangamkia fursa Azindua Mpango wa Ujuzi wa Kidigitali kwa Wote – Digi Truck Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili iweze kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi kama inavyoelekezwa katika Dira ya Taifa ya […]

BIASHARA, KITAIFA
January 19, 2024
303 views 5 mins 0

SERIKALI YAENDELEA KUSHUSHA GHARAMA ZA ULETAJI MAFUTA KULETA AHUENI KWA WANANCHI

*๐Ÿ“ŒDkt. Biteko asema gharama ya mafuta ni nafuu kulinganisha na nchi jirani* *๐Ÿ“ŒAsema kampuni ya mafuta TANOIL inaboreshwa ili kuleta ufanisi* *๐Ÿ“ŒAsisitiza PBPA ni nguzo ya Serikali katika uhakika wa upatikanaji mafuta* *๐Ÿ“ŒPBPA yazidi kudhibiti upotevu wa mafuta* Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, juhudi zinazofanywa na […]

KITAIFA
January 17, 2024
248 views 2 mins 0

SERIKALI ILIAGIZA NISHATI YA MAFUTA YA KUTOSHA MWAKA 2023

Na Madina Mohammed wamachinga Dodoma Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Serikali iliagiza tani 3,036,376 za mafuta ya taa, dizeli, petroli na mafuta ya ndege katika kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba 2023 kwa ajili ya matumizi ya ndani ya nchi pamoja na nchi jirani. Ametoa kauli hiyo January 17, 2024 jijini […]

KITAIFA
November 24, 2023
250 views 3 mins 0

DKT.BITEKO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA

Akaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian ambapo walizungumza masuala mbalimbali ikiwemo uhusiano uliopo kati ya Tanzania na China na uwekezaji kwenye miradi ya Nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar […]

KITAIFA
May 30, 2023
148 views 3 secs 0

MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Watanzania kutumia nishati mbadala kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Serikali imeunda kamati ya kitaifa kutoa elimu na kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala. Waziri Mkuu pia amewataka wajasiriamali kutumia rasilimali za ndani kuzalisha nishati mbadala. Amesifu jitihada za Wakala wa Umeme Vijijini (REA) katika […]