KITAIFA
March 21, 2024
255 views 3 mins 0

WAZIRI MAKAMBA AZINDUA KAMATI KUBORESHA KITUO CHA DKT SALIM AHMED SALIM

DAR ES SALAAM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amezindua Kamati ya Kupitia Majukumu na Maboresho ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim zamani Chuo cha Diplomasia. Akizindua Kamati hiyo leo tarahe 20 Machi 2024 jijini Dar es Salaam, Mhe. Makamba amesema kazi kubwa […]