WATANZANIA ANZISHENI MIRADI KWENYE SEKTA YA MADINI TIC
KITUO cha uwekezaji Tanzania (TIC) kimewataka watanzania kote nchini kuweza kuanzisha miradi mbalimbali ikiwemo kwenye sekta ya madini na kuweza kuzalisha ajira nakuongeza thamani Kwa lengo la kuanyanyua uchumi wa maendeleo nchini. Akizungumza katika kongamano la uwekezaji lililofanyika katika viwanja vya soko jipya _kilimahewa wilayani ruangwa katika Mkoa wa Lindi ambapo yanafanyika Maonesho ya madini […]