MAJALIWA:UJENZI WA GATI MPYA IMEGHARIMU SHILINGI BILLION 157.8
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli yenye uzito wa hadi tano elfu sitini na tano Ujenzi wa gati hiyo umeiwezesha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza uwezo wa kuhudumia shehena katika bandari ya Mtwara kutoka tani laki […]