KITAIFA
March 21, 2025
24 views 2 mins 0

MAJALIWA AAGIZA UONGEZAJI THAMANI MAZAO YA MISITU UFANYIKE NCHINI

 _▪️Asema Tanzania inayo teknolojia ya uchakataji mazao ya misitu.__▪️Aisistiza Wizara  kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji wa mazao ya misitu._ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa uzalishaji mazao ya misitu kuhakikisha wanaongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini badala ya kusafirisha malighafi hizo nje ya nchi. Amesema kuwa Tanzania kwa sasa inayo teknolojia […]

KITAIFA
June 22, 2023
197 views 34 secs 0

WAZIRI MKUU: Aagiza Uchunguzi ufanyike Haraka Kwa kupotea Kwa binti Esther

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera na Kamati ya Usalama ya Mkoa huo wafanye uchunguzi zaidi na kwa haraka kuhusiana na tukio la kupotea kwa binti Esther Noah Mwanyiru ambaye alikuwa akisoma shule ya sekondari ya Panda Hill mkoani humo. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Juni 22, […]

Uncategorized
June 20, 2023
539 views 4 mins 0

Waziri mkuu: Serikali haitodharau maoni na ushauri WA watanzania kuhusu bandari

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya chuo cha International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini Arusha. Amesisitiza […]

KITAIFA
June 17, 2023
374 views 2 mins 0

SERIKALI YATOA RAI KWA WATUMISHI WA UMMA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa rai kwa Taasisi Simamizi na Vyama vya Kitaaluma kuhimiza na kuwasimamia watumishi kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo iliyopo ili kupunguza malalamiko kutoka kwa wananchi. Akizungumza Jijini Dodoma Mwakilishi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, […]

KITAIFA
May 30, 2023
216 views 3 secs 0

MAJALIWA: WATANZANIA TUMIENI NISHATI MBADALA

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Watanzania kutumia nishati mbadala kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Serikali imeunda kamati ya kitaifa kutoa elimu na kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala. Waziri Mkuu pia amewataka wajasiriamali kutumia rasilimali za ndani kuzalisha nishati mbadala. Amesifu jitihada za Wakala wa Umeme Vijijini (REA) katika […]

KITAIFA
May 11, 2023
427 views 2 mins 0

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge huyo alitaka kujua ni kwa […]