MAVUNDE:MKUTANO WA KIMATAIFA WA UWEKEZAJI SEKTA YA MADINI TANZANIA KUWAVUTA WAWEKEZAJI DUNIANI KOTE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika […]