WAZIRI MKUU AAGIZA UFUATILIAJI WA WATENDAJI WA VYAMA VYA USHIRIKA.
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ▪️Awasisitiza Watendaji hao wazingatie maadili ya utumishi, uwazi na utawala bora WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa Watendaji wa Vyama vya Ushirika ili wazingatie maadili ya utumishi wa ushirika, uwazi, uwajibikaji na utawala bora, na hivyo kuwavutia wanachama na wawekezaji. Pia, Mheshimiwa Majaliwa ameiagiza […]