WAZIRI KAIRUKI AENDELEA KUHAMASISHA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UTALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Agellah Kairuki ameendelea kuweka wazi fursa mbalimbali zilizoko kwenye Sekta ya Utalii na kuhamasisha wawekezaji wa Kitaifa na Kimataifa kuwekeza katika Sekta hiyo ili kuongeza mapato yatokanayo na Utalii nchini. Ameyasema hayo usiku wa Desemba 1,2023 kwenye ukumbi wa Gran Melia jijini Arusha, katika hafla ya Epic Tanzania Tour […]