WAZIRI JAFO: MIFUMO YA KISHERIA HAITOKUWA KIKWAZO UTEKELEZAJI WA FEDHA ZA MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amewahakikishia Wabunge wa Zanzibar kuwa Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMTZ) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zitaendelea kuweka mifumo wezeshi ya upatikanaji wa fedha za mfuko wa maendeleo ya jimbo ili kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inatekelezwa na kukamilika kwa wakati. Waziri Jafo ameyasema hayo […]